Tuesday, December 18, 2012

Tanzia - Angela Hiza Bavu


The Late Mrs. Angela Hiza Bavu


UPDATE 12/19/12 - Mwili wa marehemu Mrs. Angela Hiza Bavu, utawasili Dar es Salaam kutoka India na Qatar Airways kesho 12/12/12.  Mazishi yatakuwa Jumamosi 12/22/12, shambani kwa Prof. Bavu huko Kimara Stopover.

*****************************************

Wadau, nimepokea kwa majonzi habari ya kifo cha Mrs. Angela Bavu (nee Angela Hiza), mtoto wa Prof. Hiza. Tulikaa na familia ya Hiza Simba Road, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani) miaka mingi tangua 1970's hadi 1990's. Wao walikuwa 3 Simba Road, sisi namba 13 Simba Road. Watoto wa Chuo!

Sina details zaidi ya kuwa alikuwa amekwenda India kwenye matibabu.

Natoa pole kwa familia ya Prof. Hiza na Mrs. Hiza, Carolyne, Mary, Msaka, Mpindu, Mhaiyo,  Robert na wengine.

Mungu ailaze roho ya Angela mahala pema mbinguni. Amen.

Nitabandika updates nikizipata.

No comments: