Thursday, October 03, 2013

Je, Utakula Kuma's

Wadau, kuna mgahawa umefunguliwa mjini Chicago, Marekani.  Jina ni Kuma's.  Wanatengeneza hamburgers. Je, uko tayari kula hapo?

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

Moja ya Hamburger unayoweza kupata Kuma's

 Kutoka Chicago Tribune:

Kuma's Corner, a heavy metal-themed burger joint on Chicago's North Side, this month is featuring a 10-ounce burger topped with a red wine reduction and an unconsecrated communion wafer, a menu item that, depending on whom you talk to, is either tasty or in poor taste.

The Ghost, named after the Swedish metal band Ghost B.C., costs $17 and comes with fries, chips or a side salad. In addition to the ingredients that ostensibly represent the body and blood of Jesus, the burger served on a pretzel bun includes a portion of slowly braised goat shoulder, aged white cheddar cheese and Ghost chile aioli.

Kuma's names all of its specialty burgers after metal bands. Ghost B.C. is known for its secretive nature, with its musicians wearing hooded robes while the singer appears in skull makeup and dresses as a Roman Catholic cardinal. Some people have been offended by the burger, Director of Operations Luke Tobias said at the restaurant Wednesday.

7 comments:

Jim said...

Napendekeza waserve Limbwata Burger!

Anonymous said...

Ah mimi nilidhani mambo ya ngono kumbe hambugga kama Blimpie!

Anonymous said...

Mh, kwa mswahili kupeana ahadi ya kukutana hapo, labda kinyume nyume yaani tukale pale "Samuk"

Anonymous said...

LOL! Passing 'fads'! Soon enough, another fad takes over, and people move on!

Anonymous said...

Hapa kama pakilipuliwa kwa bomu (God forbid), sijui TV na redio zetu Bongo zitalitamkaje jina hilo.

Anonymous said...

Hili ni jina tu. Kwa Kiswahili ndio linaweza kuonekana kama tusi lakini latika lugha nyingine ni neno tu kama neno lolote. Huko Kenya kuna Shule ya Sekondari Usenge. Kuna Mtaliano mmoja alikuwa ni bingwa wa kuteleza juu ya theluji (skier) miaka ya 1990. Anaitwa Alberto Tomba.

Anonymous said...

Hawa jamaa waje kufungua tawi Bongo.