Friday, March 21, 2008

Go Hashim!

Natazama game kati ya San Diego na U Conn! Watangazaji wanamsifia Hashim Thabeet! Kijana anaelekea NBA huyo!

San Diego walishinda 70. U Conn walipata 69.

Kwa habari zaidi za Hashim BOFYA HAPA:

1 comment:

Subi said...

Iko kila sababu ya kumpa moyo kijana asonge mbele na awe wa manufaa kwake mwenyewe na kwa wengine atakaoweza kuwasaidia.
Hongera Hasheem! 'Ukianguka mara saba, nyanyuka mara nane' msemo wa D. Wade!