Tuesday, March 18, 2008

Kweli Kabisa!


Hii ni kweli kwa wazungu! Mzungu mwanamke atakuwa kapigwa pasi huko nyuma atajiona kama kavimba huko nyuma. Wanaona kitu kibaya kuwa na matako makubwa. Mzungu dume nene/baya/kipara atajiona kama Mr. Universe!

7 comments:

Anonymous said...

Ni kweli Da Chemi! Wazungu wana hofia kuwa na matako makubwa. Utamsikia mzungu jike akisema 'Does my butt look big!'

Anonymous said...

Chemi CHamiponda, how are you. Im Abdisalam Odemwingie from Abuja, Nigeria. I,ve been notified that you are a front liner in helping women of Africa. My wife who is also a prominent bussiness woman has been framed up by Government agencies in some allegations of tax evasion. They are about to confiscate her money and some other assets. I have been made aware that you might be willing to help so that we can at least transfer some of her money into your bank account so that we can save another African mother from illegal government activities. I hope that our request will get your favourable consideration and we are both looking forward to hearing from you.
Get back to me on e-mail
wanzalambongo@yahoo.com
Thank you

Sincerely,
Abdisalam and Einchikwe Odomwingie,
Abuja
Nigeria.

Chemi Che-Mponda said...

Utapeli mwingine bwana! Hao waNigeria wamezidi.

Anonymous said...

Jamani dada Chemi wasaidie waafrika wenzetu. Angeomba msaada mzungu tungeona anatujaribu lakini kwa vile ni rangi yetu hamishia pesa kwenye akaunti yako tu. Ni wenzetu hao. Wana shepu nzuri, hawana vipara wala matumbo makubwa.
Na kama unaona haiwezekani andika tena kwa kiingereza ili nao waelewe vinginevyo utakuwa huwatendei haki weusi wenzetu.
Tuungane pamoja kuweka picha mbaya za wazungu na tupige vita sisi kuambiwa miguu yetu kama shina la mti.

Anonymous said...

Chemi nakumbuka wewe ulitoa taarifa kuwa unataka kuwa mwigizaji na ukatoa picha ya nyota wa hiyo filamu husika. Kama sijakosea yule si mweusi mwenzetu bali ni mweupe.
Ina maana upo tayari kumwonyesha picha ulizotoa kwenye blogu yako na kumwambia kuwa "tazama ulivyo mbaya, tumbo kubwa, makalio yako ya ajabu na hupendezi kabisa ukilinganisha na sisi weusi, upara kama...!" Ndivyo utakavyomwambia? Au ndio itakuwa kila kitu "amazing... fantastic...kwa vile tu hawajui kwenye blogu umewasemaje!"
Kwa kweli sielewi lengo la wewe kuweka picha kama ile wakati mambo aliyoyasema yule dada Mdenish uliyakemea.
Tusilete ajenda ya uumbaji hapa maana hata sisi weusi tunajijua tunavyotofautiana kimaumbile. Tuelimishane mambo ya msingi sio kujengeana chuki wakati hakuna aliyejiumba.
Hata kama wengine watakuunga mkono kama huyo mtoa comment wa kwanza, lakini kwa hili unajishusha sana. Kama kwa kukosoa hauta approve, basi comment ijayo nitakuunga mkono....
Jifunze kutokana na hotuba ya Obama ya jana ili uone ubaguzi sio dili.

Chemi Che-Mponda said...

Anonymous wa 9:32am, hii ni katuni tu. Imechorwa na mzungu, sijachora mimi. Na hasa kwa akina dada wa kizungu ndo fikra yao, wanaona kuwa wana matako makubwa wakati wamepigwa pasi.

Anonymous wa 8:19am, hao matapeli kila siku wanazua utapeli mpya. Sasa nikiwapa namba ya akaunti si nitashutukia ina zero balance. Na naomba waBongo wenzangu msikubali kutapeliwa hivyo.

Anonymous wa 8:14PM., tangu nikanyage nchi hii USA nasikia wazungu wa kike na hata weusi wakiuliza 'Does My butt look Big'. Mimi mwenyewe nikiambiwa nina Big butt, nawaambia, "I wish it were bigger!" LOL!

Anonymous said...

Anony 9:32am Mbona hii cartoon inasema, THE DIFFERENCE BETWEEN MEN AND WOMEN. Haikuchorwa kudhalilisha wadhungu kama unavyosema nia yake ni kuonyesha tofauti ya fikra kati ya mwanaume na mwanamke na wanavyoona miili yao.