Tuesday, February 24, 2009

Mzee Abdullah Riyami Afariki Dunia


Pole sana Khadija na wanafamilia. Nitamkumbuka Mzee Riyami kwa busara yake na mapenzi yake ya fani ya uandishi wa habari.

Mungu amlaze mahala pema mbinguni. Amen.


***************************

Picha na Maelezo ya chini kutoka Michuzi Blog:

Waombolezaji wakiwasili kwenye makaburi ya kisutu jioni hii na mwili wa Mzee Abdullah Ahmed Riyami aliyefariki mchana kwa kusumbuliwa na maralia kali na upungufu wa damu. Mzee Riyami, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 87, alikuwa mkurugenzi wa mwanzo wa Idara ya habari ya Tanganyika, baada ya kupigana katika vita ya pili ya dunia. pia alikuwa mhazini wa chama cha waandishi wa habari (TAJA). Amecha watoto 10, wajukuu 18 naa vilembwe 10.

No comments: