Friday, February 13, 2009

Utapeli wa Nigeria - Kuomba Urafiki

Wadau, hebu tazama hii barua ya kitapeli niliyopokea kwa e-mail leo. Ni barua ya kitapeli. Hebu cheki jamaa anajiita ' Janet' lakini ni e-mail ya Idrissa!

Hivi karibuni kwenye vyombo vya habari hapa Marekani wameonya watu kuhusu utapeli wa aina huo. Wanavyofanya ni kujifanya mwanamke/ au mwanaume. Wanatuma picha feki na kutumia majina feki. Halafu ukianza urafiki wa kalamu nao wanaanza kudai, oh nahitaji pesa, nilipata ajali, nimeumia siwezi kwenda kazini, oh nimefiwa, oh kakangu kafungwa jela nahitaji pesa za dhamana. Mbaya zaidi wengine hapa wanadhani kuwa wamepata marafiki wa kweli na hata kuwatumia nauli ya ndege!

Kazi kwenu, hawa jamaa wabunifu sana!

***********************************************************************

From: Janet Sana idrissa.bamogo07@westanga.net

Subject: Hello Dear

To: Date: Friday, February 13, 2009, 4:55 AM

Hello Dear,

How are you today? I hope that everything is ok with you as it is my great pleasure to contact you in having communication with you starting from today; please I wish you will have the desire with me so that we can get to know each other better and see what happens in future.
I will be very happy if you can write me through my email for easy communication so that we can know each other, I will give you my pictures and details about me upon hearing from you. Waiting for your response as I wish you all the best.

Yours new friend,

Miss Janet Sana

5 comments:

Chemi Che-Mponda said...

No need to even waste time responding to the idiots and give them the time of day. Just delete them.

But people need to be aware of the different types of scams that's why I posted.

Anonymous said...

Thanks so much dada chemi
cos yesterday i got the same email and i was trying to figure out who was that and i wanned to reply back today kumbe ni matapeli wao,

Anonymous said...

Some TZ womens love wapopo as they have quick easy money to spend and knows how to treat a lady

Anonymous said...

NAONA SIKU HIZI WAMEACHA ILE YA KUANZA OOH MIMI MKE WA LATE .... NINA MILLIONS OF DOLLARS ETC. NAOMB ACCNT YAKO..
MDOGO WANGU ALIPATA MAIL NIKA MUONYA HUENDA AKAWA TAPELI.
HAIBIWI MTU HAPA.

Anonymous said...

Ebwana nawashukuru wachangiaji wote wa mada hii inayowahusu hawa jamaa wa nigeria ambao ni matapeli wakubwa afrika na dunia kwa ujumla. Napenda kuongeza kusema sio wao tu wapo pia matapeli kutoka senegal,mali, ghana na hapo jirani kwa mzee kibaki wakenya. Mimi pia nasumbuliwa kila dakika na emails za kitapeli nimewatukana sana mpaka nimewazoea siwajibu tena. Nimimi sept.29@ovi.com