Sunday, February 08, 2009

Safari ya Anguilla katika picha

Ferry Anguilla.... Safari ya kurudi Boston umeanza! Kwa heri joto!

Mimi na mdoli uliyotengenezwa na Auntie B

Bandari ya Anguilla


Hey There! Afternoon! Hapa niko Gwen's Reggae Bar
Nafaidi Ting soda inatengezwa na madansi

Mimi na mdogo wangu Malaika ambaye amaeolewa MAnguilla
Ugali wa Anguilla unaitwa Fungi (fun-jai) na inachanganywa na bamia. Hapa ni Restaurant maarufu inaitwa Johnno's ...wana bendi ya reggae kwa ajili ya watalii, nasikia wikiendi panajaa watalii na mastaa.
Hapa nafaidi Rum Punch

Hapa nafaidi Pina Colada

5 comments:

Anonymous said...

Kiswahili chako kinakera....Safari ya kurudi Boston umeanza....Hapa ni Restaurant unaitwa Johnno's....

Anonymous said...

Asante kwa picha Da Chemi!

Anonymous said...

Asante kwa picha Da Chemi, fahari ya macho! Karibu tena japo kwako.

Anonymous said...

Punguza unene dada si mzuri

Anonymous said...

Asante kwa kushare. Sikujua na mahala panaitwa hivyo. Vacation is a good thing hope you enjoyed it. Mbona hatuoni picha ya mzee kwani uko bado bado. Kuna mtu alikuuliza hukutaka kujibu. Uchoyo namna hiyo kujifurahia mwenyewe.