Monday, January 17, 2011

Happy Martin Luther King Jr. Day!

(pichani Dr. Martin Luther King, Jr. 1929-1968)

Leo ni sikuukuu ya shujaa Martin Luther King, Jr. Alipuwawa akiwa anagombea haki za waMarekani. Kutokana na juhudi zake na za wengine, weusi na watu waote wasio wazungu wanafaidi usawa. Yaani haki ya kukaa, kula, kusoma, kwenda madukani na kufanya vitu sawa na wazungu.

No comments: