Thursday, January 13, 2011

Tunapambana na Theluji na Barafu!


Ni msimu wa winter (Baridi) hapa Marekani. Tunatamani joto la Dar. Hizi picha nilipiga hapa Cambidge, Massachusetts leo asubuhi.

6 comments:

Malkiory Matiya said...

Duh!kumbe na Marekani kumekucha kama hapa Finland.

SIMON KITURURU said...

Poleni!

Anonymous said...

usitamani joto la nyumbani. mimi nilikuwa huko hadi trh 10 jan. ni joto balaa. tena umeme wa kukatika katika na shida ya maji. nipo nje sasa ni baridi lkn ukivaa mavazi mazito na heater hali ni poa.

Chemi Che-Mponda said...

Jana niliteleza kwenye black ice na kuanguka! Goti inaniuma kweli. Spring/Summer njoo!

SIMON KITURURU said...

Pole Da Chemi!

Anonymous said...

Jamani heri hiyo baridi kuliko joto la hapa Bongo. Ninyi huko mna vifaa vya kupambana na hali hiyo. Huku joto ni kali sana na hakuna umeme.