Tuesday, January 18, 2011

In Memoriam - Reverend Douglas Gregory Whitlow

Wadau, ni mwaka moja tangu mume wangu afariki dunia.


Rev. Douglas Gregory Whitlow (12/11/51 -1/18/10)
Wow ! Time flies. It was one year ago today that you left us. I miss you, your stepsons miss you. You are missed by your parents, Brothers, Sister, nephews, nieces, cousins and Congregation members.
REST IN ETERNAL PEACE

6 comments:

Kaka Trio said...

Pole DaChemi, sikuk zote ukumbuke Mungu haezi kukupa mzigo usioweza kuubeba. Mungu aendelee kuilaza mahalipema peponi roho ya mpendwa wako

SIMON KITURURU said...

R.I.P Rev. !

Mwanasosholojia said...

Pole Da'Chemi...Mungu anazidi kukulinda na kukupa uhai ili utimize matakwa yake na yale ya mpendwa wako aliyemchukua...Mungu azidi kukupa nguvu na shime!

Anonymous said...

Da Chemi,

Pole sana. Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Tunamuomba aendelee kuilaza peponi roho ya marehemu. Na pia aendelee kukutia nguvu, kukupa amani, utulivu na uvumilivu.

Mdau,
Japan.

Anonymous said...

Indeed, time flies. It has been 1 year 4 months since my husband departed this world too. Missing is not the right word to express emptiness and frustration over his not being here with us......
RIP my love S.M.M.

Anonymous said...

RIP REV. pole DA, chemi kazi ya mungu haina makosa