Tuesday, July 19, 2011

Bukoba Airport

Hebu cheki view ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba kutoka angani!

5 comments:

Anonymous said...

tuache mzaha...hiyo haiwezi kuwa airport labda ni airstrip....

airport gani with poor facilities like that?

Anonymous said...

shuka china ndio utachoka kabisa, stendi ya basi ya ubungo inaafadhali mara 100. Airport za mikoani zinabidi ziwe revamped kwa kweli sijui huwa wana waza nini kuongeza mashangingi na sio vitu muhimu, Mwanza airport nayo ni kasheshe ile ndio ingebomolewa kabisa ijengwe ya kisasa kama KIA maana wauza samaki wapo mpaka mlangoni

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

KWA TAARIFA YENU AIRPOT HII NAJENGWA, WAMEMALIZA CHANGARAWE NA SASA WATAWEKA LAMI, THEN KUNA INTERNATIONAL AIRPORT INAJENMGWA ENEO LA KAJUNGUTI

MIMI NI MWENYEJI HAPA NA NASAFIRI SANA LAKINI SIJAWAHI ENDA NANDEGE, SO AIRPOT SIO MUHIMU KAMA BARAMARA NA MELI. IAJENGWA TU

emu-three said...

Iwe wagambaki...sisi ni wasomi, bado tunabukua, kwahiyo hatuna muda wa kujenga hiyo aiport, ....!

Anonymous said...

Iwe bojo utatoka Dar es salaam hadi bukoka kwa meli? Kama si muhimu International airport inajengwa ya nini si ingeachwa..kaziro