Monday, July 11, 2011

Cruise Boston - Jumapili Julai 17th, 2011Siku ya jumapili, 7/17/11, kutakuwa na Crise na chakula cha jioni, Boston Harbor. Bendi ya Krystaal na Dada Fiona Mukasa watawaburudisha kwa muziki. Cruise imeandaliwa na wachungaji waafrika Boston. Meli inaondoka bandarini Rowes Wharf, saa 9:30 kamili (3:30PM). Tiketi ni bei poa, wakubwa $25, watoto chini ya miaka 12, $15.


KARIBUNI

No comments: