Sunday, April 01, 2012

William Malecela Candidate for CCM EA Legislative Assembly

1 comment:

Anonymous said...

Binafsi hili Bunge la Africa Mashariki sijaona faida yake na mzigo kwa walipa kodi tuu.Pili tumejifunza nini mwaka 1976 wakati jumuiya hiyo ilipokufa?Tanzania tulichwa na hali mbaya sana,Kenya walinyakuwa mali nyingi za Jumuhiya hiyo Ndege,Treni nk kama mtakumbuka Captani Mazulla alipotoroka na ndege hadi bongo toka Kenya.Railways tuliachwa na Locomotives[treni]chache na Madreva wachache.Katika kusomesha wafanyakazi nchi zote zilitakiwa kutoa idadi iliyo sawa lakini Kenya kwakuwa ndiyo chuo cha Railways kilikuwepo wao mara zote walikuwa na idadi kubwa kushinda Uganda na Tanzania.Hii jumuiya ya safari hii Watanzania tuwe macho hasa kuhusu suala la Aridhi.