Wednesday, May 30, 2012

Rais Kikwete Akutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran na Mjumbe wa Rais wa Burundi Ikulu Dar es Salaam Leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi. Katikati yao ni mkalimani

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe  Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 kutoka serikali ya Burundi alioletewa na Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. 


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 na Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini TanzaniaPicha zote na Ikulu

No comments: