Thursday, October 11, 2012

Wasichana Wanaosaidiwa na Flaviana Matata FoundationLeo ni sikukuu ya Kimataifa ya Msichana.  Flaviana Matata Foundation imetoa picha hii ili kuweza kuwatambulisha wasichana wanao wasaidia katika elimu. 
Hongera kwa Kazi nzuri Flaviana Matata Foundation.

1 comment:

emu-three said...

Ndivyo inavyotakiwa kama una uwezo saidia wenzako, na sio kwamba una uwezo, lakini umejaliwa kidogo, toa katika hicho kidogo ulichojaliwa, hii inakuongezea baraka katika mapato yako!