Tuesday, October 23, 2012

Msichana Auwawa kwa Kujamba!!!

Huko Ohio, msichana mwenye miaka 16 kauwawa na msichana mwingine kwa vile alimtania alivojamba!  Msichana aliyejamba ndo kashitakiwa kama muaji.  Maisha ya huyo muaji yamekwisha maana ataishia gerezani. Bila shaka watamshitaki kama mkubwa. Huko gerezani ataweza kujamba tani yake. Tena huenda Big Bertha atampenda na kumfanya awe mke wake mdogo. Duniani kuna mambo! Inasikitisha kusikia mtu kapoteza maisha yake kwa ajili ya upuuzi. Watu wanajamba kila siku tena zingine zina ushuuzi ile mbaya!

Rest in Peace Shaakira Dorsey.

Marehemu Shaakira Dorsey

Mnaweza kusoma habari zaidi kwa kubofya HAPA:

****************************************************
http://www.huffingtonpost.com/2012/10/09/shaakira-dorsey-16-dead-flatulence_n_1951165.html

A 16-year-old in Warrensville Heights, Ohio, was reportedly killed by a teen she teased about her flatulence.
The fight took place last Wednesday at about 8 p.m. when, according to witnesses, the suspect, whose name has not been released, passed gas.
The victim, Shaakira Dorsey, started teasing the suspect and, consequently, a fistfight broke out between the two, WOIO-TV reported.
Dorsey collapsed after her stepfather broke up the fight, but it was too late, according to UPI.
She died after being rushed to a hospital, but her cause of death has not been officially announced. The unnamed suspect has been charged with one count of murder, and will make her first court appearance on Wednesday, the New York Daily News reported.
Although only one person has been charged in Dorsey's death, 911 calls obtained by WEWS-TV suggest adults were on the scene and stood by.
"At the end of my driveway, it's some kids fighting, and it's adults there watching ... it's adults, grown-ups there watching them fight," says the 911 caller.

4 comments:

Anonymous said...

Duh! Yaani ushuzi unaua siku hizi!

Anonymous said...

big bertha ndiyo nani?

Chemi Che-Mponda said...

Big Bertha ndo jina la wale mashiga wa kike huko gerezani. Midume inaitwa Big Bob.

Anonymous said...

Haya ya Marekani sio mageni kabisa hua naangalia chanel inaitwa TLC kwa wale waishio majuu utakuta mauaji mengine hata ukiwaza jibu huna . nilipokuja Europe mwanzoni nilikua naogopa watu kwa ajili ya hiyo program ya mauajiiko kila j4 naalhamis kwa wale wa Sweden na DENMARK .kwa wabongo wenzangu nyie someni tu hii dunia inamengi.kuna mwingine anaua mpaka idadi hajui akiulizwa et anapenda kuuwa .