Thursday, December 20, 2012

Miss Tanzania Vazi la Taifa Katika Mashindano ya Miss Universe 2012


Wadau, hebu cheki hii Vazi la Taifa aliyovaa Miss Tanzania 2012, Winifrida Dominic, katika Mashindano ya Miss Universe. Samahani lakini sioni UTanzania! 
Miss Tanzania Winfrida Dominic performs onstage at the 2012 Miss Universe National Costume Show at PH Live in Las Vegas, Nevada December 14, 2012. The 89 Miss Universe Contestants will compete for the Diamond Nexus Crown on December 19, 2012. REUTERS/Darren Decker/Miss Universe Organization/Handout



Miss Bostwana 2012
Miss Ethiopia 2012


4 comments:

Mrembo 1990 said...

Nakubaliana na wewe Da Chemi. Kwanza Mtanzania hatembei na chupi tu. Bora wangemvalisha Khanga au Kitenge. Ona Eithiopia na nguo yao na Bostwana unaona kabisa Uswazi.

Anonymous said...

Ni aibu kuita hiyo kitu vazi la Taifa letu!

Anonymous said...

Why is Tanzania so OBSESSED with so-called BEAUTY CONTESTS these days? It's so SUPERFICIAL and degrading to women!

Anonymous said...

Hii kali, duuuh!