Nimepata kwa email:
Hallo
Uncle,
Guess you are fine, so are we. Bongo iko poa tu na MSWAHILI is
still at the helm though wengi wetu tusingependa hivyo!!! anatuharibia
PROJECT yetu tuliyoianza miaka mingi huko nyuma, "KUWAFUKARISHA
WATANGANYIKA". Analeta mpango wa kilimo cha matrekta wakati hili
tulilisimamisha, watu wakiwa na uwezo wa maisha ni vigumu kuwafanya
WARITADI. So the best option was to make them poorer and poorer.
Unakumbuka, japo ulikuwa mtoto mdogo, kauli mbiu inayosema "NCHI YETU
MASIKINI" basi ni nchi ile ile ambayo sasa wanaharakati hawataki
ichimbwe gesi, mafuta na urani, eti hatutaweza kuingia mikataba vizuri
kama nchi!! Botswana wamewezaje? Na hawa ndiyo wasomi wa nchi hii!!!Kwa
mtu asiefuatilia matukio ya kidunia, kikanda na ki-nchi, anaweza
akadhani hawa jamaa wazalendo kweli kweli.
Sasa wanaogopa mabadiliko ya
katiba, wanachotaka wao ni kubadili vipengele vinavyowasumbua kuleta
serikali nyingine, lakin STATUS QUO yao ibaki pale pale. Ndiyo maana
nakwambia tumerithishwa unafiki kuwa ni sehemu ya maisha yetu ya kila
siku. MSWAHILI kaanzisha kampeni ya shule za sekondari za kata, imekuwa
nongwa, watoto wengi masikini watapata fursa ya kuwa na upeo wa kujua
mambo, anawaharibia PROJECT ile kuu.
Wanaharakati na wachambuzi wa
masuala kadha wa kadha wa Bongo ni wa ajabu sana, akiuawa mtu ambae kwa
hana maslahi yoyote hukaa kimya kama vile hakujatokea kitu, sasa ngoja
auwawe mwenzao, kelele ni nyingi, maandamano kwa kwenda mbele, huu ni
usomi wa aina gani uncle? Sheria ya ugaidi iliyopitishwa Bongo ilipigiwa
kelele nyingi na wadau wenye luona mbali, lakini kwa vilke ilikuwa
inawalenga watu fulani ambao kwa hakika watajijua wenyewe, ikapitishwa,
Kenya ambako kuna wakristo wengi kuliko Bongo walisita baada ya kuona
itawagawa kama nchi, hiyo ndiyo COMMON SENSE tuisemayo.
Nimeku-forwardia
mail za siku nyingi kidogo kukukumbusha ya kwamba, "Many world events
do not just happen, they are made to happen" kwa hiyo sio ajabu kuona
kuwa Somalia kuna rabsha licha ya kuwa vita vilikuwa vimekwisha tayari
lakini kwa kutumia jina la MAHAKAMA YA KIISLAM, wasomali walipoteza sifa
ya kuwa na amani nchini mwao, ndivyo vivyo hivyo itawakumba wamisri na
Muslim Brotherhood, halikadhalika Mali,
Zanzibar, Tunisia na kwingineko dunia ya Kiislam. Kwa wanaojua, CRUSADE
is with us now though it still finds pockets of resistance on a few
Islamic individuals, when the Islamic Nation as a whole wakes up to this
fact, things will never be the same again, albeit, the cat is out of
the bag already!!
Huku Bongo Waislamu sio wanalalamika, wanawaambia
wenzao wakristo kwamba mchezo wao ni mauti kwa wenzao, lakini mazoea
yana taabu, wanadhana kuwa waislamu hawana akili, wamezaliwa hali wakiwa
wapumbavu. Ustaarabu wa dunia ya Magharibi una deni kubwa sana kwa
uislamu ( hii inategemea na historia gani Mbongo kasoma maana Bongo
inaongoza Afrika kwa kutengeneza HALF-BAKED Intellectuals!!!) Sasa
inaingia kichwani kuwa wale waliostaarabisha dunia leo hii tena ndiyo
waje kuwa hawajui kitu!!
Hicho kisemwacho kuwa ni New World Order
kinasumbuliwa na uislamu tu hadi sasa, jamaa wa itikadi hii wako busy
kubomoa family values, mainstream society morals and ethics,
traditions and God Worship etc., stumbling block ni Muslims and Islam,
maana kama ni ushoga umeishakubalika, riba poa tu, kusagana poa, tena
kwa baraka za makanisa, na watendaji wakuu wa makanisa ndiyo vinara wa
kuonesha njia kwa vitendo!! elimu ya Evolution ndiyo hivyo tena, watu ni
ma-Profesa wa fani hii, wanaharakati na wachambuzi wako busy
wakijikaanga kwa mafuta yao wenyewe, eti tunasema zama za giza zimepita,
mbona kwa sasa ndiyo GIZA TOTOLOOO!!
Bye Uncle, nisiseme mengi, jamaa
hawakawii kutumia sindano kunyamazisha ukweli. Regard
Saturday, February 02, 2013
Letter to Uncle - Part I
Labels:
Barua,
Christianity,
Courts,
Islam,
Letter,
Mahakamani,
Poverty,
Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Tanzania tumezidi kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Duh! Hii kali!
Post a Comment