Wazungu hawajazoea kuambiwa wasiendeshe magari yao. Basi siku ya Ijumaa wakawa wanamwita Gavana wetu, Deval Patrick ambaye ni mweusi, Dikteta, MKomunisti nk.. Lakini sasa wanamshukuru na kukubali kuwa alifanya jambo la maana, maana barabara kuu ziliweza kusafishwa haraka. Hata Connecticut na Rhode Island walifuata nyayo za Gava wetu na kuzuia watu wasiendeshe magari yao! Huko Long Island New York, watu walikoma maana mamia ya magari ya kwama na watu ndani.
Wadau, mgongo unaniuma! Jana ilinichukua masaa kufukua mkweche wangu!!!! |
3 comments:
Poleni!
Pole sana Dada Chemi!
Poleni sana.
Post a Comment