Sunday, February 10, 2013

Mtazame Rick Lake Show Kesho! Must See!Wadau, wanaotazama The Ricki Lake Show. Mkianagalia kesho jumatatu 11/2/13., mtamwona rafiki yangu  na mwigizaji mwenzangu hapa Boston Almitra Wiggins. Inahusu, "Cougars" wanawake wanaopenda wanaume wenye umri mdogo kuliko wao. Nimeamabiwa itakuwa kiboko!

http://therickilakeshow.com/Media/Featured-Events-and-Video-Clips/I-m-A-Cougar-And-Proud-Of-It

2 comments:

Anonymous said...

Nitatazama. Nataka kumwona kama huyo cougar ananifaa!

emu-three said...

Oh, kweli wenzetu wa mjuu mwapata uhondo, ....tupo pamoja mpendwa