Wednesday, February 06, 2013

Mbwa Mtu!

Bila shaka kuna mtu kalogwa kuwa akifa atarudi duniani kama mbwa! Basi ndo huyo hapa! HII PICHA SIYO PHOTOSHOP!


5 comments:

Anonymous said...

Hii ndio kitu huwa nashindwa pata jibu kwa nini mtu kupenda mbwa zaidi ya binadamu..Wapo watoto yatima homeless wangapi duniani hawana watu wa kuwapenda utashangaa wenzetu wanaona ni heri kulea mbwa kuliko mwanadamu matokeo yake ni haya.wanawageuza wenzi wao..ukweli ndio huu.

Yasinta Ngonyani said...

Kama ni kweli basi kweli huu ni mwisho wa dunia...

Anonymous said...

Duh! Mambo mengine tumwachie mwenyezi mungu.

Anonymous said...

You must be joking, Da Chemi. Hiyo picha lazima imekuwa photoshopped.

Anonymous said...

It's a real dog up for adoption.
Someone probably already got him.