Monday, August 26, 2013

Shukurani Kutoka Familia ya Biswalo

 
The Late Buyoya Biswalo (1981-2013)
Salaam!

To our dearest family and friends, we would like to express our sincerest gratitude for your prayers, continuing support, both emotionally and financially, and presence this weekend for those of you who were able to join us in Atlanta as we laid our beloved Buyoya Paul to rest. As we begin the healing process, let us keep his memory alive and live each day as he did, with a passion for life and a heart for everyone you meet.
 In Peace, 
The Biswalo Family.

7 comments:

Anonymous said...

Rest in peace Buyoya. We will miss you.

Anonymous said...

Kwenye Go Fund Me wamechangisha zaidi ya $21,000. Je, failia wa Biswalo watajulisha waliochanga hela zao zimetumikaje? RIP Buyoya.

Anonymous said...

May BUYOYA PAUL rest in peace. CONDOLENCES to the BISWALO family and friends.

Anonymous said...

Wewe anonymous 845, unaakili nzuri kweli?? Kama ulikuwa hutaki kutoa hela usingetoa sio kuanza kuuliza zimetumikaje!! You should be ashamed of yourself!!

Mbongo said...

Wabongo tuna tabia mbaya ya kutouliza hela zilizochangwa zimeenda wapi. Nami pia ningependa kujua hiyo hela ya Gofund me imetumikaje? Hiyo ni mshahara wa mwaka mzima kwa mbeba boxi. Marehemu hakusafirishwa. Unamzika mtu vizuri sana maridadi kabisa kwa $9,000 na chini. Zilizibaki zimetumikaje? Tiketi za ndege, nini? Si ujinga au roho mbaya kuuliza.

Anonymous said...

Natoa pole kwa familia ya Biswalo. Sikuweza kuchanga kwa vile sina hela. Maisha ya USA ngumu bills kibao. Mwenyezi mungu ailaze rogo yake mahala pema peponi. Amin.

Anonymous said...

Hivi ilishindikana kurudisha mwili wake Bongo?