Saturday, August 10, 2013

Sheikh Ponda ApIgwa Risasi Na Polisi Morogoro!

Sheikh Ponda Issa Ponda


Mda kama dakika 20 zilizopita  mjini Morogoro shehe Ponda amepigwa risasi na polisi .
Inasemekana pengine umauti umemkuta .

Dhahama hiyo imempata baada ya kushuka kwenye tax ambako kulikuwa leo
akiendesha mhadhala baada ya mhadhala huo kukawa kama kuna maandamano
kueleke barabarani, gafla polisi walitokea na kuanzanza kutawanya wakati huo yeye
alikuwa hayupo .

Ndipo mda mdogo akawasili akashuka na ndipo akapigwa risasi za kutosha.

 UPDATE:

Haijulikani hali yake. RPC, Faustine Shilogile, anasema hali ni shwari ila Ponda hajui hali yake Maana polisi walizuia gari la Ponda wamkamate, lakini wananchi wakaanza kushambulia polisi ndipo wakarusha risasi hewani kutawanya watu, lakini wananchi wakamtorosha. Anasema taarifa ni nyingi za uongo, hakuna watu polisi wala hospitali waliozingira na anaomba anayejua alipo atoe taarifa.


Chanzo: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/502527-sheikh-ponda-ajeruhiwa-vibaya-baada-ya-kupigwa-risasi-kwenye-mhadhara.html#post7045479

*************************************************

 From All Africa.Com

Tanzania: DPP Directs Arrest of Sheikh Ponda for Disobeying Order


Sheikh Ponda was in May, convicted of forcible entry into a plot by the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam. He was given a oneyear suspended jail term and directed to refrain from taking part in incitement activities likely to lead to breach of the peace in the country.
Dr Feleshi noted that recent reports have it that the cleric is engaged in organising religious gatherings in Zanzibar, which threatened peace in the Isles. "Such a behaviour is intolerable," the DPP said in an interview with the 'Daily News' on Wednesday.
He added: "We hope the police will exercise their powers wisely to arrest Sheikh Ponda and take him to court for penal actions." Dr Feleshi said what Sheikh Ponda was currently doing was contrary to his sentence. "He was convicted of a similar offence, but was still conducting acts that threaten the public order and concord.
This is not acceptable. We cannot let one disobey court orders and go on unpunished," he said. Counsel for Sheikh Ponda Juma Nassoro was not reached for comment on the matter.
Reports from Zanzibar have it that police are tracing Sheikh Ponda's whereabouts. He is alleged to have called on the citizens to initiate strikes against the government. Zanzibar Commissioner of Police, Mussa Ali Mussa was reported to have said that Ponda's statements breached police directives to religious leaders to avoid giving messages which threaten the country's peace.
The police in the Isles arrested five persons who reportedly gave shelter to the controversial Muslim Sheikh. They were interrogated for hosting Ponda.
Sheikh Ponda, according to the police, had requested the believers to be ready to fight for their rights and stressed that they should soldier on.
Adjourning the Zanzibar House of Reps budget session for 2013/2014, the Second Vice-President, Amb. Seif Ali Iddi announced a ban for Sheikh Ponda to set his foot in the Isles for the purpose of inciting the people. Amb. Iddi warned that the government should not be blamed for serious measures that would take against leaders of such calibre

22 comments:

Anonymous said...

Nimepata taarifa now ni kweli'na patro ni kubwa sana'na hospital ya mkoa wa morogoro imemkataa'na sasa anatibiwa hospital binafs'hali inatisha'

Anonymous said...

Shocked. Tupate habari zaidi. Haya matukio ya namna hii yataingiza nchi
kwenye maasi makubwa sana. Matukio ya kushambulia viongozi wa dini.

Padri Mushi
Sheikh Soraga
Kanisa bomu
Sheikh Ponda

Anonymous said...

Nimethibitisha taarifa hizi ni kweli na inasemekana Waumini wa
kiislamu wamemtorosha Hospital baada ya kuona gari la FFU,
haijajulikana wamempeleka wapi.

Anonymous said...

Polisi na CCM watahakikisha kila nayewapinga anauwawa kabla ya 2015....Lakini sasa ndugu zetu waislam wakafumbua macho, wakayaona udhalimu wa CCM na polisi wao. Hapa wamevuka mipaka. Sheikh Ponda amekuwa akiwa akitafutwa sana. Hapa watasema ughaidi kama kawaida yao

Sitashangaa CHADEMA wakitwisha hilo gunia la mchanga!

Anonymous said...

Amepigwa risasi ya begani ,atakufa kama watachelewa kumpa matibabu, la hasha atapona!

Anonymous said...

Mimi pia sijajua ila Taarifa zinadai, ametajwa kuwa mmoja wa watu
wanaohusika na kikundi cha umwagiaji Tindikali. Sijui ukweli ni nini
ama wanataka kutumia kama sababu ya kumshambulia.
Muhimu tusubiri maana inaonekna wanatekeleza Amri ya Pinda, Pigeni tu
na wapigeni.

Anonymous said...

Hizi ni dalili mbaya sana kwa mustakabali wa amani ya taifa hili. Najua afadhali mkristo angejeruhiwa kuliko huyo jamaa. Kukosa uvumolivu ni tatizo sana. Busara na hekima za mungu zinahitajika sama kilipokea hili suala.

Anonymous said...

Ili si suala la ukristu au uislam,kama kweli limetokea,ili suala halikubaliki wala kuvumilika kabisa!wanasiasa wasitake kutugombanisha kwa sababu ya maslai yao na familia zao,mimi ni mkristu by the way,ila sijawahi msikia sheikh Ponda akichochea waislam wawadhuru au wawachukie wakristu,so siwezi kumuita kua ni mchochezi,kuna vitu anavyo ona haviko sawa na sisi kama jamii na taifa moja inapaswa tukubali kukosoana,na si kujiona na Miungu watu!get well soon Sheikh Ponda

Anonymous said...

shenz type...
Waislam sasa ndio mjue adui yenu ni nani na sio mnakaa na kuwaza kuwadhuru wakristo tu

Anonymous said...

Habari zilizonifikia hv punde kutoka chalinze zinasema Sheikh Ponda amefia njiani kuelekea kwenye matibabu Dar,chanzo,aliyeambatana msafara

Anonymous said...

Nimesikiliza RPC wa moro kwenye radio one breaking news, alikuwa anapiga blah, blah, tu..! Wenye akili tukajua kuna kitu hataki kuweka wazi.

Anonymous said...

Sheikh Ponda hajafariki,,...nimeshaongea na family yake yu umzima ila yuko kwenye critical condition,,......cz kapigwa risasai mbili za bega ila hajafa
N.B Hajafa.....ila serikali iwe macho maana hiki ni kipenz cha waislam wenye kujitambua bali si wale wanaotumika na serikali....aka Bakwata
nyie wanafki mnaotumika na serikali yenu ya kidhalimu,,.......ni dhahiri kua moto mlio uwasha hamtaweza kuuzima,,.....
Sasa ndo mtawatambua Waislam vizur,,....

Kamwe usicheze na mtu ambae kuitoa roho yake juu ya Allah Sw kwake ni jambo dogo sana,,.......jipangeni vyema
mtajuta

Amani said...

Tumegawanyika kiasi ambacho hatuwezi kuungana kupinga dhuluma hizi! Unamsoma sheikh Khamisi anatamani padri nae apigwe risasi yeye kwake padri akipigwa risasi ndiyo itakuwa ufumbuzi wa tatizo hilu, tunashindwa kujua nani hasa ni adui yetu, tunakubali kugawanywa kwa maslahi ya kikundi cha watu wa chache

Anonymous said...

Ssijui watasema kajilipua ama ni chadema? Pamoja na kutounga mkono mambo yake mengi lakini nimechukizwa sana na kupigwa kwake risasi huyu ni kiongozi mkubwa mwenye wafuasi wengi kwa nn askari wetu wanataka kuleta majanga?

Anonymous said...

Tumekuwa kwa muda sasa siasa ya udini imeingia miongoni mwetu bila kujali ni nani ambaye anatuvuruga na kwa maslahi ya nani, kwa miaka mingi tumekuwa wamoja kuhusu amani ya nchi, ni mbaya tu Kiongozi mmoja wa upande wa pili alipokuja na hoja kuwa upande mmoja unadhulumiwa wala hawapewi nafasi katika sehemu muhimu,mimi kama mimi nimeongea na wengi na wengi wanakiri wamedhulumiwa kwa muda mrefu sana!! Mara nyingi huwa na uliza je umefanya utafiti wa kudhulumiwa kwako, Je katika biashara unayofanya huwa watu huja na kuuliza wewe unahitikadi gani? hujibu lah hasha sijawahi fanyakazi kwa kuulizwa itikadi gani!! Tukiwaamini viongozi wetu wakiroho bila nasi kuangalia maandiko yanasemaje kuhusu maendeleo na haki ya kumpenda jirani yako watatupeleka pabaya tutapoteza upendo tulio nao kwa miaka mingi, Kama vitabu vyote vinaingikia kwa kina kuhusu upendo hii chuki juu ya wengine inatoka wapi? Je mafundisho ya dini zetu hazina habari ya kuja kwa mtawala wa uongo katika dunia yetu? Je haijaandikwa kuwa watawatumia viongozi wa dini? Je haijahusiana na kwamba watu hawata zungumzia juu ya maadili aliyohusia Mwenyezi Mungu na wataongelea zaidi kuhusu uchumi? TUNAHITAJI UCHUMI MZURI LAKINI HATUTAFANIKIWA KWA KUPIGANA SISI WENYEWE NDANI YA NYUMBA MOJA

Anonymous said...

Toa siasa zako hapa tunaongea kuhusu kupigwa risasi shekhe ponda we unakuja kulialia ebo tuliza mshono!!

Anonymous said...

Elimu ni muhimu ila hekima ni zaidi ya elimu tutumieni hekima tusitumiliwe na watumiao maguvu kulinda maslahi ya wachache tukatupa upendo wetu . auwae kwa upanga atakufa kwa upanga. Hilo jeshi la majambazi lilaaniwe , tudumishe upendo wana dini wote . adui hatojificha achomozapo aandamwe yeye ..... mungu atupe nguvu aamin

Anonymous said...

Ya allah wape nguvu wenye kutetea haki na wadhalilishe watetezi wa baatili .
Amin

jamal songoro said...

matatizo ya shekhe ponda yanatokana na undani na bakwata serikali yetu na matajiri wa nchi hii toka shekhe ponda alipozungumzia mali ya waislamu inapofujwa na selikari na bila jambo hili selikari kulitazama kwa kina tusiusihe udini kugombanisha watu wala kuigawa nchi kwa faida za watu wachache nchini

Hamisi Abduli said...

mi nashaur pinda ajiuthulu.

Anonymous said...

Mambo ya Sheikh Abuu Rogo hayo!!

Anonymous said...

Hapo lazima utaskia padri fulani naye kapigwa risasi, au utaskia bomu limelipuka kanisa fulani