Sunday, August 11, 2013

Tamko Rasmi Kutoka Familia ya Biswalo Kuhusu Kupotea kwa Buyoya Biswalo

* Nimeulizwa Buyoya ni nani na kama ni MTanzania.  Buyoya Biswalo ni mtoto wa Marehemu Prof. Paul Biswalo aliyefundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), miaka mingi. Walikuwa wanakaa Sinza Rd. Namba 13. (Mlimani Campus)

Buyoya Paul BiswaloThe Biswalo family would like to inform extended family, friends, and the general public of the unfortunate incident that happened in the state of Georgia, USA, on Tuesday, August 6,  2013 involving our beloved ,
 Buyoya Paul Biswalo.

During a boating excursion,  Buyoya went missing in the Chattahoochee River in northern Atlanta. Official search crews including friends have been vigilantly searching the area where the incident occurred. The search continues and we remain hopeful of his eminent return.
Thank you in advance for your prayers and well wishes during this difficult time.

                                               ****************************


Familia ya Biswalo inapenda kuwaarifu ndugu, jamaa na marafiki wote kuhusu tukio la kupotea kwa mpendwa wao Buyoya Paul Biswalo lililotokea siku ya Jumanne tarehe 6, Agosti 2013 huko Atlanta, Georgia, Marekani.

Mara ya mwisho, Buyoya alionekana akiwa na wenzake katika mto wa Chattahoochee, Atlanta kaskazini. Jitihada za kumtafuta bado zinaendelea kufanywa na mamlaka husika, ndugu, jamaa na marafiki. Tunatarajia jitihada hizi zitazaa matunda mema.
Ahsanteni, na tunaomba tuendelee kuungana wote katika maombi wakati huu mgumu.


No comments: