Friday, August 02, 2013

WaTanzania Wanavyosachiwa Airport za Ughaibuni Siku Hizi

Asante hao wauza unga, wabongo wanakiona wakipita kwenye Uwanja wa Ndege za nchi kadhaa! 

Cheki mchoro wa Marco Tibasama


3 comments:

Anonymous said...

Kweli tumepata jina baya asante hao wauza unga!

Anonymous said...

Makubwa!

Anonymous said...

Wabongo bwana kwa kujishaua tuu hatujambo. Ukiangalia kipindi cha "UK Borders" au "Nothing to declare" kwenye TV; kila siku anakamatwa mtu kameza unga tumboni, na sijawahi kumuona m-bongo hata mmoja kwenye vipindi hivi viwili nilivyovitaja.

Point yangu ni kwamba wameza unga wako kila nchi duniani na wabongo wala hawana umaarufu katika makosa haya. Jamaica, Nigeria, na Senegal ndiyo nchi ambazo zinajulika katika makosa haya.