Saturday, March 15, 2014

Posta ya Zamani 1980

Posta ya Zamani Karibu na Forodhani Secondary School mnaona hiyo basi ya UDA!

3 comments:

Anonymous said...

Asante sana kwa hii picha dada Chemi. Nimekumbuka mbali!

Anonymous said...

palikuwa pazuri, wala hakuna hata msongamano kama sasa, kila kitu kiko sawa sawa, khali ya hewa nzuri, hata vibaka na wezi nadhani ilikuwa almost hamna

Anonymous said...

Utashangaa ukiambiwa hapa ilikuwa ni siku ya kazi. Ni tofauti sana na Dar ya siku hizi ambayo ni uninhabitable.