Monday, March 17, 2014

Wagadugu Stars - Watoto wa Chuo Kikuu (UDSM) 1988

Hii picha nilipiga 1988. Ni watoto wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Watoto walianzisha kikundi cha sarakasi Wagadugu Stars.  Wako wapi siku hizi?  Hii ilitoka kwenye gazeti la Daily News June, 6, 1988.

2 comments:

Anonymous said...

Dah! Kumbe Da Chemi na wewe ulikuwa na scrapbooks. Nilikuwa nazo kadhaa dating back from the early 1980s lakini bahati mbaya zote zimepotea.

Anonymous said...

Miaka inakwenda jamani! Hao watoto sasa ni ma-baba na ma-mama!