Tuesday, March 18, 2014

Watalii Kutoka Marekani Jamaica

Hao akina dada warembo kutoka Atlanta, Georgia  Marekani walienda Jamaica likizo.  Waliamua kupiga picha wakiwa beach Montego Bay.  Walitamba na bikini zao!


16 comments:

Anonymous said...

OMG! Good advert or educational warning for kids (and adults, I guess) to stay away from FAST JUNK FOOD... esp stuff from McD's and the like.

Anonymous said...

Khaa! Warembo?.

Kiswahili ni lugha yetu, ila kwa hili neno "Urembo" naona linanitatiza.

Anonymous said...

Usije ukawaambie si warembo! Watakukalia!

Anonymous said...

Daymn they must weight like 400 lbs each! True Big Momma's!

Anonymous said...

Jamani... kwanini hawafuniki hayo matumbo yanayo ning'inia? Big is beautiful, but not like that!!! Kama mtu alivyosema hapo juu, watatukalia and smother us to smithereens :)

Anonymous said...

Wafunike nini? Si wamevaa bikini!

Anonymous said...

Alaa- wafunike mapaja ya matuta, na matumbo ya matuta na mawimbi! Kwani wanapendiza?

Anonymous said...

Haya basi, waacheni waonyeshe miili yao. Labda hata wangevaa G-string/ thongs.

Jim said...

Waje Tanzania basi halafu watembee hivyo waone tutakavyo wamezea mate! Wazuri kweli! Mali kuwa na mke mnene kama huyo!

Anonymous said...

:)

Mike S. said...

Napenda majimama! Nataka kumwoa huyo mrefu! Naweza kumpata wapi? Naomba email yake please.

Anonymous said...

Maunene kama haya yako Marekani tu. Sijawahi kuyaona Afrika.

Anonymous said...

Nimewahi kuona wanawake wanene hata Afrika, ambao unaweza hata kuweka mtungi wa maji (uliojaa maji) kwenye matako, bila maji kumwagika. Kweli :)

Anonymous said...

Nawatamani mno hao visura! Napenda wanawake wa mafuta mengi. Aaaaaaaaaaaaahhhh, mafuta matamu!

John said...

Mimi namtaka huyo kibonge wa mbele! Usiku sitasikia baridi nikiwa na huyo!

Anonymous said...

John- Hautasikia baridi, kwasababu utakua umepondwa (na UZITO) na kufariki!