Sunday, March 02, 2014

MKenya Lupita Nyong'o Ashinda Oscars!!!!
Mwigizaji, Lupita Nyong'o kutoka Kenya ameshinda tuzo za Oscar!!!!!! Anakuwa mwafrika mweusi wa kwa kushinda. Mzungu Charlize Theron kutoka Afrika Kusini amewahi kushinda.  Kweli Hollywood inabadilika maana miaka mingi ilikuwa vigumu mwigizaji mweusi kuteuliwa na hasa kushinda! Katika miaka 86 ya historia ya Oscar Lupita, ni mwanamke wa saba mweusi kupokea Tuzo ya Oscar!

HONGERA LUPITA NYONG'O!!!!


Lupita Nyong'o leo kabla ya Tuzo za Oscars Kuanza

Lupita Nyong'o katika sinema  12 Years a Slave

Lupita akicheza na mwimbaji Pharell


3 comments:

Anonymous said...

Kwa ujinga huu wa Bongo movie, Watanzania tusubiri miaka 1,000.

Anonymous said...

Mbona hana matiti, shepu kama mvulana?

Anonymous said...

We ng'ombe ndio nyie mkiona matako ya kina lulu mnasifia movie za ujinga