Monday, July 14, 2014

Wazungu Watajirika Kwa Kuuza Bangi Kihahali Marekani!

 Wazungu Marekani watajarikia kwa kuuza bangi kihalali sasa.  Mnaona hizo kliniki za 'Medicinal Marijuana' zinavyoshamiri Marekani? Je. wale weusi waliofungwa kwa kuuza bangi tena kidogo sana wataendelea kufungwa? Hivyo vifungo vimeharibu maisha ya watu, na familia nyingi pia.

Dr. Farrah Gray awapasha!


 
www.FarrahGray.com

1 comment:

Anonymous said...

Chemi,

Ujinga wa watu weusi nao wakati mwingine umekithiri jamaani, kha! Sasa, kama bangi zinauzwa sasa hivi kihalali, kwa nini huyu mjinga asiwahimize vijana kuwa enterpreneurs na kutengeneza mabiliioni badala yake anarudi nyuma kupiga kelele za kisiasa?

Wakati mwingine, watu weusi tatizo letu ni kuendesha maisha kwa kuangalia nyuma sana. Kama ni ubaguzi, sote ni wabaguzi bwana!