Friday, November 30, 2007

MsosiJe, msosi kama huu unafaa kulika kwa bia au soda? Ila hiyo nyama ya pembeni hapo ni mafuta tupu.

3 comments:

Anonymous said...

Da Chemi hiyo nyama ya mafuta mafuta ni nyama ya mbuzi.

Anonymous said...

Huo msosi unafaa kuliwa na coca cola baridi au pepsi baridi sana.Huyo mbuzi kanona kama kitimoto.

Anonymous said...

Chakula gani hiko kibovu hivyo? Ndo maana mnaota malutulutu (cellulites)matakoni.