Monday, November 12, 2007

Bi Hindu akiigiza kama Mama mwenye Nyumba

Scene kutoka Bongoland II

Josiah Kibira ameandika maoni yake kuhusu mcheza sinema maarufu wa Tanzania, Bi Hindu. Katika sinema ya Bongoland II, Bi Hindu anaigiza kama mama mwenye nyumba.
Kwa habari zaidi soma:

2 comments:

Anonymous said...

Wanawake weusi hawazeeki. Kumbe Bi Hindu bado wamo!

Anonymous said...

chemi, wewe si mwanaharakati hapa unasemaje,
soma hii habari
http://www.thefirstpost.co.uk/?storyID=9497