Thursday, December 13, 2007

Amwua mke wake baada ya kuambiwa ana UKIMWI!


DOH! Hii habari insikitisha. Huyo Mmarekani mweusi alimwua mke wake kwa kumpiga vibaya! Mke wake alienda hospitalini kakutwa ana UKIMWI. Karudi nyumbani na kumwambia mume wake na kumwomba apime. Ndo ugomvi ulianza. Maiti ya Velveena Baskin(38) ilikutwa nusu uchi chumbani kwake East Boston. Alimwua mwaka jana, lakini kesi ndo kwanza inaanza kusikilizwa.
Sasa huyo mume katili Whitney Baskin (46) alidai mahakamani jana kuwa alichanganikiwa na kukasirishwa sana na hiyo habari ndo maana kamwua mke wake.

Kukasirika ni kisingizio cha kuua?

Kwa habari zaidi soma:


No comments: