Saturday, December 08, 2007

Warembo wa Afrika 1967

Hao ni warembo wa Afrika, wa mwaka 1967. Hapa wanapiga posi kwenye hoteli huko London tarehe 10, Novemba 1967 kabla ya mashindano ya Miss World.

Kutoka kushoto ni Miss Tanzania (Teresa Shayo), Miss Uganda (Rosemary Salmon), Miss Nigeria (Rosalind Balogun) na Miss Ghana (Araba Vroon). Mamiss weusi wengine kutoka Afrika walikuwa Miss Kenya (Zipporah Mbugua), na Miss Gambia (Janie Jack).

Kuona wote walioshiriki bonyeza hapa: http://www.geocities.com/komw3/MW1967Delegates.html

Picha ilipigwa na Leonard Burt.

1 comment:

Anonymous said...

Hao ni wanawake! Siyo hizi skeletons wanazoita warembo wa siku hizi!