Monday, October 12, 2009

Kaka Michuzi Kwenye Harusi Juzi

Wadau, hebu cheki kaka Michuzi anavyonengua kwenye arusi ya Jackson Mbando wikiendi hii iliyopita. Kujua nani kashinda BOFYA HAPA:

3 comments:

Anonymous said...

Michuzi alishinda. Lakini mgongo bado unamwuma.

Anonymous said...

TELEMUKA, MICHUZI TELEMUKA!

John Mwaipopo said...

tehe! tehe! tehe! mgongo bado unamuuma!