Wednesday, October 14, 2009

Sinema - AerodynamicsWadau, nimo katika hii sinema Aerodynamics. Naigiza kama mwanamke mwenye wivu katika scene ya klabu. Nilifanya kama miaka mitano iliyopita, na bado haijaiisha. Ni sinema iliyotengenewa na mtu binafsi (Independent Film). Kaka Theodore anasema itatoka mwakani Mungu akipenda.

Kwa habari zaidi tembelea:

http://www.myspace.com/aerodynamicsmovie

1 comment:

Anonymous said...

Kanumba zake zinatoka kila mwezi