Thursday, October 08, 2009

Weusi Watukanwa AustraliaKwa wasiojua kuigiza ukiwa na 'Black Face' (make-up maalum inayotengeneza na masizi) ni kashfa kubwa sana hapa Marekani. Inatokana na historia ya weusi kuonewa Hollywood, Broadway and katika sanaa za maigizo na uimbaji.

7 comments:

Nautiakasi said...

Ahh Da Chemi mbona hujui kujieleza? Yaani utafkiri si mwandishi wa habari! Daima ukitoa maelezo yanakuwa hayajikamilishi, aibu zaidi wewe ni ngwini (umesoma masomo ya art) tena mwandishi wa habari, ingekuwa mtu wa FoE (fuculty of engineering) enzi hizo ningekusamehe! Unapo eleza kitu "assume" unaowaeleza wote hawajui chochote kuhusu habari husika,then tumia kiswahili kilichonyooka!

Anonymous said...

Ilikuwa karibu Ted Danson aue career yake kama actor shauri ya kufanya skit akiwa na blackface.

Anonymous said...

hii safi sana, tena ni nzuri zaidi kwa waafrika wenye tabia ya kujikataa na kujifanya wazungu.

Maggie said...

Wewe anoni wa 2:44AM unasikitisha sana, kama hukuelewa concept nzima ya hiyo video ungesema tu, sasa inawahusu nini waafrika na kutaka kwao kuwa wazungu? The thing is issue hapa ni hiyo symbol ya black face ina maana kubwa sana kwa historia ya black Americans, upakwaji wa rangi hiyo ulikuwa unasymbolise kuwa black people are dumb and stupid ndio maana watu wamereact, pili ukae ukijua kuwa wale aboriginals wa Australia wameteseka sana na bado wanaendelea kuteseka kama blacks wa marekani na ndio maana Ted Danson akatoa hiyo speech. The fact is hiyo show ya hao jamaa was not even funny, haichekeshi inaonyesha dance ya kijinga jinga tu kwa hiyo obviously kulikuwa na lengo moja tu,kufikisha ujumbe wa ku disrespect na racism period.

Anonymous said...

Asante NAUTIAKASI Da Chemi ukweli ni kwamba kwenye maelezo yako mengi huwa hujui kumpa msomaji habari iliyonyooka na kueleweka mara ya kwanza nilidhani unafanya tafsri hivyo inakuwa vigumu lakini nimeona inakuwa tabia yako. labda umeanza kusahau kiswahili?

KUHUSU HAO AUSTRALIA NI WAJINGA SURA ZAO KAMA CHIMPAZEE SASA WANATUKANA NINI

Anonymous said...

Acheni kumsema Da Chemi! Big up Dada. Kuna wabongo waliozaliwa na kusoma Tanzania. Wakipata nafasi ya kwenda nje wanajifanya wamesahau kiswahili. Kweli kabisa! Wanaaibisha kweli. At least Da Chemi anajitahidi kutangaza nchi na lugha. Ukikaa nje miaka mingi hutajua lahaja ya siku hizi.

Anonymous said...

Kazi nzuri sana Da Chemi! You make us proud!