Saturday, October 17, 2009

Khadija Kopa in Boston!


4 comments:

Anonymous said...

lazima uende da chemi utuletee mapics.

SIMON KITURURU said...

Mwanamke NYONGA, Mwanaume PANGABOI! MmmmhhhhH!

John Mwaipopo said...

taarab inaonekana kusahaulika na waTz mlioko us. show ya mwisho kufanya sidhani kama watu walifika 20. au ndio taarab ina wenyewe?

Chemi Che-Mponda said...

Anony wa 7:41am, nasafiri siku hiyo. Sitaweza kuhudhuria. Nimesikitika kweli. Mimi ni shabiki wa Da Khadija Kopa!