Tuesday, October 20, 2009

The Harlem Renaissance Revisited - October 16th

Ms. Thelma (mimi) na Ms. Evelyn (Irene O'Bannon)
Costume 2 Ms. Thelma na mchumba wake Joe (Big Moe da Comedian)

Ms. Thelma akitenda wema

Ms. Thelma akipodiwa

Chemi, Ms. Elite 2009, Ms. Evelyn

Ukitaka kuwa tajiri, cheza namba na Steve Lucky aka. Joe Banks

Mary McLoud Bethune aka. Wanda Perry Josephs

Bag Lady (Ruby Hill) na Ms. Evelyn


Bag Lady na Ms. Harmon (Linda Henderson)

Wadau, hizi ni picha chache kutoka Maonyesho ya Ijumaa iliyopita, ya mchezo wa kuigiza, The Harlem Renaissance Revisited with a Gospel Flavor. Tulikuwa Robsham Theater, Boston College. Hizi ni behind the scenes, kabla hatujaenda jukwaani.

2 comments:

thomas said...

kumbe da chemi ni kibonge!! hebu pungua kidogo

Anonymous said...

da chemi ana umri ila yuko bomba kuzidi vichenchedi