Sunday, October 04, 2009

Kitchen Party - You Tube!Wadau, nimekuta hii kideo You Tube! Sijui ni Kitchen Party, au ni show kwa ajili ya watalii au ni nini. Pia kulikuwa na mjadala umepigwa wapi, Zanzibar, Tanga, au Kenya?

10 comments:

Nautiakasi said...

Nadhani majibu sahihi anayo MICHUZI alikuepo hapo anachukuwa taswira, anaeonekana 1:30 mpaka 1:32

Anonymous said...

Da kemi hii ngoma si ya kitchen party kwani kwenye pati ya jikoni wanaume marafuku! hii ngoma ni ngoma ya tanga na znz ndio wanacheza sijui ni msewe au ni ngoma gani lkn maaaru ni huko TA na ZNZ,

Anonymous said...

Jamani mi huyo wa anaye fanya slow motion agh! ananiacha hoiiii yaaani wee acha tu Da Kemi naona uliangaliaaaa weeeeeeeeh! then ndio ukasema ngoja ni share na wadau. POaaa kabisa

Anonymous said...

Yanini kuumiza vichwa? wakumuuliza huyo hapo michuzi maana namuona kaja na kikamera chake hapo mpaka chini yao, tizama vizuri utamuona! na atupe jibu hapo ni wapi?
lakini nafikiri ilikuwa kwenye shoo ya mavazi/khanga party kitu kama hivi hapo bongo.

Anonymous said...

Du Chemi hii ni kali, dahh, ila kama mambo yaneyewe ya kitchen party ndio hivi wife marufuku kwenda huko, mwisho haendi tena daahh....

Anonymous said...

Dar es Salaam hapo! Humwoni Michuzi!

Kidada said...

Hiyo Inaitwa BAIKOKO ni ngoma y akutokea tanga hiyo, bila hiyo ngoma harusi au kitchen aijawa, yaani siku hizi wanapendwa sana kama ilivyokuwa enzi za issa matona kwenye maharusi, kila sehemu hawa wanaalikwa

Anonymous said...

Kumbe kwenye Kictehn Party kuna mambo!

Anonymous said...

Bahati yao hakuna wanaume walioenda kuwabaka huko jukwaani!

Anonymous said...

Nikoa mke wangu lazima apitie Kitchen Party! Makubwa haya!