Friday, June 25, 2010

KumbuKumbu Michael Jackson 1958-2009

Kuna mtu ambaye alitumia programu ya kompyuta kupata piacha ya kulia. Eti Michael angekuwa hivyo kama asingejiharibu kwa ma plastiki surgery na kujikrimu. Mbona anagekuwa handsome. Badala yake kajirhaibu huko akisema Mungu alitak awe hivyo.


THRILLLER!(Michael na baba yake Joe Jackson)

Leo ni mwaka moja tangu mwimbaji maarufu, Michael Jackson afariki dunia. Kwa vile alikuwa na sura nyingi, nimeamua kuweka picha zinazoonyesha nyuso zake. Wengine wanamkumubuka vizuri alivyo kuwa mweusi, na wengine wanamkumbuka alivyogeuka kuwa mzungu.
REST IN ETERNAL PEACE MICHAEL! WE MISS YOU BUT YOUR MUSIC LIVES ON!

Kwa habari zaidi someni:

3 comments:

Anonymous said...

Duh! Kumbe alijiharibu namna hiyo! Angekuwa mzuri bila kuchonga pua, mdomo, mashavu. Mbona kaka zaka na dada zake wote wazuri!

Kaka Trio said...

anon, Nani kakwambia dada zake maiko jakisoni hawajachonga pua? au hawajafanya face lift? ama hawatumii kemikali zingine ili waonekane jinsi walivyo leo hii?

Anonymous said...

Janet kachonga pua, kapunguza matako na kiuno kwa liposuction. LaToya kachonga pua anatumia krimu ile mbaya. Yaani kawa mbaya kweli ukimowna utasema kinyago kama Michael. Dada yao Maureen mkubwa ndo kajiheshimu yuko kama Mungu alivyomwumba.