Friday, June 11, 2010

MZimbabwe Abaka Msichana New Jersey

Nyie wanaume kutoka Afrika, mkija Marekani poozeni hizo dhakari zenu. Kuna kijana kutoka Zimbawe mwenye miaka 19 tu ambaye anashitakiwa kwa kubaka huko New Jersey. Ilitokea baada ya Prom, yaani sherehe ya kumaliza Form Four. Hapa Marekani mwanamke akisema basi, manake basi! La sivyo mtafungwa na kuchafuliwa majina na kuitwa sex offender. Kijana huyo ni mwanafunzi na alikuwa ana kaa na host family. Nyege zimemponza. Anashikiliwa kwa dhamana ya $125,000. Huyo ambaye kabakwa lazima atakuwa mzungu, dhamana kuwa kubwa kiasi hicho!

Inaelekea kijana alishikwa na nyege mshindo. Binti ambaye kabakwa alikuwa amezimia kwa ulevi. Wenzake walimkuta anafanya mambo yake na kuanza kumpiga! Mnaweza kusoma habari kamili hapa:
http://www.cliffviewpilot.com/bergen/1355-northern-valley-student-charged-with-raping-fellow-senior-at-seaside-heights-motel

Pia,bado kuna mawazo finyu kuwa waafrika wana uume/miboro kubwa kuliko watu wengine. Hivyo wanawake watawashiwishi kutaka kuziona.

****************************************************

N.J. Prom-Party Rape Raises Red Flag


OLD TAPPAN, N.J. (CBS)

It was a nightmare for a teenaged girl celebrating her prom. She was raped during a party that was supposed to be joyous and memorable.

She was part of a group from Bergen County that traveled to the Jersey Shore last week to live it up.

It's a dangerous tradition that has changed the way some schools celebrate their proms.

Could this attack have been prevented? That's what students and parents at Northern Valley Regional High School are asking.

Jackie Finno is an 18-year-old who will be going to her senior prom on Friday night. Then, as the tradition goes, she and her friends will head to the Jersey Shore.

But news an 18-year-old girl was allegedly raped at her after-prom party at the Shore last Friday has Finno on edge.

"When I found out it was terrible. Oh my God. It's very nerve-wracking," Finno said.

But Finno's mother said she's still willing to let her go.

"With much stipulation and we trust. And we trust her and we trust her choices and we have to start letting her go, even through all these tragedies that occur," LeeAnn Finno said.

Police said 19-year-old Matthias Kabette from Zimbabwe and a senior at Northern Valley raped a classmate at a motel in Seaside Heights on June 4. Members of Kabette's host family declined to speak to CBS 2 HD on Thursday night.

"I can't comment I'm sorry," one said.

Students who know the suspect were stunned.

"He's a really nice guy. Like I can't see any bad sides about him," Eugene Kim said.

"I played soccer with him. He was a really nice kid," another student said.

Now parents and students are questioning if the alleged attack could have been prevented.

"I think it's an issue that you are giving teenagers today the freedom to go down to the shore at 16, 17 years old," one parent said. "You're asking for trouble."

Northern Valley junior Christian Mecca said he'd support a midweek prom, like many area high schools already have.

"Because it keeps people out of trouble. It is kind of a tradition to have it on a Friday and you're with your friends for the weekend. But I feel like, just everyone's just gotta be responsible," Mecca said.

Parents said they also bear the responsibility, but feel timing makes no difference.

"Do you think the day of the week probably would've mattered to this kid? Probably not," parent Mike Poole said.

"Is it something that can be completely avoided in our world? Unfortunately not," LeeAnn Finno added.

Kabette, who is studying in the U.S. on a student visa, is being held on $125,000 bail.

9 comments:

Anonymous said...

SASA DADA CHEMI KAMA HIZI DHAKARI ZETU TUTAZIPOOZESHA MAMA KAMA WEWE AKUSHUGHULIKIE NANI? AU NDIO UNAENDA KWA WAMAREKANIII?

Anonymous said...

Kuna jamaa tulikuwa tunasoma naye. Alikuwa deported baada ya kumbaka mzungu shuleni kwetu. Si utani, unadhani anakutaka kumbe!

Anonymous said...

Dada, maneno unayotumia kutufikishia ujumbe, mimi hoi!!!

Anonymous said...

duh mi nawashangaaa hao ambao bado wanastuka na ngozi nyeupe.ngozi ya kansa ngozi ya ovyo kweli kweli.ngozi nyeusi ipo juuu juu zaidi.mzungu msubilie akishafkisha miaka thelathini uone ginsi sura inavo mparama.he he he he.au summer msogelee uone ngozi ilivo hio ya laana kazi kweli kweli.sasa huyo anaebaka malaya wa kujiuza si wapo shauri zenu watadungwa misindano ya ganzi mwaka huu

mdau kigali makazi boksini kusaka chake

Anonymous said...

Da'Chemi. Nadhani wewe hujui utamu waupatao wanaume kwa kutumia dhakari zao, ndiyo maana unawashangaa. Kuna utamu kweli kweli

Anonymous said...

Wamezoea kubaka wanawake wa kiafrika kwa kisingizio eti mwanamke hawezi kusema hapana kwenye ngono! Wanawake wa kiafrika wanabakwa kila siku kwa kisingizio cha kuvaa vibaya, kataka mwenyewe, kajipeleka, aliingiaje chumbani, kakaa kitandani, alivaa kanga moja, au kanilia pesa zangu.

Sasa waache wakomeshwe kwa wenda uchi!

Aliyedata

Anonymous said...

Nilipoanza kusoma ilinibidi nirudi kuagalia kama ni blog yenyewe- Da Chemi maneno yako mie

Anonymous said...

Watampa dawa ya castration. Shauri zake, atakuwa hanisi. Kumbaka mzungu USA utakoma!

Anonymous said...

chemi unaboa tumia tasfwida au kwasababu upo mbele ndio umesahau sio!