Friday, June 11, 2010

Mtukuu wa Nelson Mandela Afariki Katika Ajali ya Gari

(Pichani Mzee Nelson Mandela na Mtukuu wake Zanani mwaka 2008)

Habari za kusikitisha kutoka Afrika Kusini. Mtukuu wa Nelson na Winnie Mandela, Zenani mwenye miaka 13 amefariki katika jali ya gari. Habari kutoka huko zinasema kuwa walikuwa wanarudi kutoka kwenye sherehe za ufunguzi wa mashindano ya World Cup. Dereva wa gari alikuwa amelewa!

Pole sana familia ya Mandela. Mungu ailaze roho ya Zenani mahala pema mbinguni. AMEN.

*********************************************************************
Kutoka New York Times:

JOHANNESBURG — Heartbreak intruded on the opening day of the soccer World Cup when Nelson Mandela’s 13-year-old great-granddaughter Zenani was killed in an auto accident here early on Friday. In response, Mr. Mandela canceled a much-heralded appearance at a tournament depicted as a triumphant showcase for his country and his continent.

Zenani Mandela was returning home from the event’s Thursday night kickoff concert in Soweto, an extravaganza with stars like Alicia Keys and Shakira that was meant to launch the contest on a joyous note. At its conclusion, the sky lit up with fireworks as happy attendees made way to their parked vehicles.

According to police, Zenani died in a one-car accident on a Johannesburg highway. The man behind the wheel, who has yet to be named, was accused of drunk driving and may also be charged with culpable homicide, the police said.

MNAWEZA KUSOMA HABARI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA:

1 comment:

Anonymous said...

Maskini! Mtoto wake Mzee Mandela alifariki katika ajali ya gari siku nyingi nadhani 1970. Ila jamani hao wanaoendesha magari wakiwa wamelewa Afrika ni balaa! REST IN PEACE LITTLE ONE!