Monday, June 14, 2010

Mtoto Nicole wa Arusha

Wadau, hakuna raha kama kuangalia maendeleo ya mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia. Mdau Nicolas wa Arusha amenitumia picha za mwanae wa kwanza Nicole. Nicolas alikuwa hapa Boston na Minnesota kabla ya kurudi Tanzania. Alioa mwaka juzi na Mungu amembariki na mtoto mrembo Nicole.

*******************************************************************Hi,
I believe God is still faithful to you, as He's been and will always. In brief, we're doing well here in Arusha. Our beloved kid/daughter, Nicole "Shimilimana" is doing well, being now 6 months old, since May 23, 2010.

Blessed,Nico, Nicole and Siima

4 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana baby Nicole kwa kuwa na afya. Ubarikiwe sana.

Anonymous said...

inaelekea sasa blogs ndio sehemu za kujishaua na kufanya show off. mwanzo tuliona mambo ya girl/boy friend, baadae tukaona ndoa na watu wakituma picha zao, na sasa watoto wanaozaliwa.

sina hakika huko mbele kama tutashuhudia wajukuu au takala zikitumwa katika blogs ili watu wajue.

nadhani tunahitajika kuwa serious zaidi.

Anonymous said...

sure,blogs zimekuwa mahali pa kujionyesha personal life!!inaboaaaa,wala haihusuuuu.kuna vitu vingi vya maana vya maana vya kuweka ili tudiscuss but not maisha ya watu binafsi!1haiuhusuuuu..usibanie basi hii comment

Anonymous said...

sure,blogs zimekuwa mahali pa kujionyesha personal life!!inaboaaaa,wala haihusuuuu.kuna vitu vingi vya maana vya maana vya kuweka ili tudiscuss but not maisha ya watu binafsi!1haiuhusuuuu..usibanie basi hii comment