Saturday, June 05, 2010

A War for Your Soul

A War For Your Soul-Birmingham version from Erisai Films on Vimeo.DUH! Lakini lazima weusi waamke hapa Marekani. Naona wengine wanazorota kutokana na haya mambo ya ovyooooo kuitana majina ya ajabu! Weusi wamenyanyaswa na hii video inasema badala ya wazungu kutunyanyasa sasa tunanyanyasana!

Wadau, wanaume weusi wengi mno wamefungwa katika magereza na majela. Wanauana ovyo. Hapa Boston katika wiki mbili vijana watano wameuawa!!

2 comments:

Anonymous said...

Waonyeshe hao weusi waliofungwa!

Mumu said...

Aisei tunawasema wamarekani weusi lakini ni wa kuhurumiwa kwa kweli. Wajitazame na wasisahau damu waliomwaga mababu na mabizi zao!