Saturday, January 08, 2011

Zilipendwa - Shauri Yako na Orchestra Super Mazembe



Wadau mnakumbuka huu wimbo...SHAURI YAKO!!!!

3 comments:

malkiory said...

Umenikumbusha mbali kweli, asante kwa kipande hiki.

emu-three said...

Kweli shauri yako...marejeo ya ubongo , yanatukumbusha mbali...shukurani sana!

Anonymous said...

Super Mazembe ni baadhi tu ya wanamuziki waliorekodi upya kibao hiki. Wimbo huu ni wa mwanamuziki Nguashi Ntimbo aliourekodi na kundi lake la Festival du Zaire mwaka 1980. Unaweza kuupata wimbo huu original katika link hii http://www.youtube.com/watch?v=IEe7GKJr7lk