Saturday, July 09, 2011

Nchi Mpya - South Sudan


(pichani: Bendera ya SOUTH SUDAN)

Wadau, Sudan Kusini sasa ni nchi huru. Mungu Awabariki maana wamepigana vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa miaka 50. Waarabu wa kaskazini waliwatesa na kufanya ndugu zao waafrika weusi wa kusini kuwa watumwa na kuwaua ovyo. Safari yao ndefu lakini watumie hela ya mafuta vizuri kujenga nchi. Sidhani kama itabaki na jina la SoutH Sudan kwa muda mrefu, huenda wakaiita jina la kimila kama

*********************************************************************

JUBA, South Sudan — South Sudan raised the flag of its new nation for the first time Saturday, as thousands of South Sudanese citizens and dozens of international dignitaries swarmed the new country capital of Juba to celebrate the country's birth.

South Sudan became the world's newest country Saturday with a raucous street party at midnight. At a packed mid-day ceremony, the speaker of parliament read a proclamation of independence as the flag of Sudan was lowered and the flag of South Sudan was raised, sparking wild cheers from the crowd.

Mnaweza kusoma habari zaidi hapa:

http://www.ajc.com/news/nation-world/a-new-flag-raised-1004971.html

2 comments:

Anonymous said...

Unadai waarabu wa North Sudan waliwatesa, nataka uelewe kuwa north sudan pia ni waafrika weusi kama wewe na waarabu ni wachache sana pamoja na kuzungumza kiarabu, kikubwa kilichokuwa kinapiganiwa hapo sio kwa ajili ya ukabila au rangi bali ni mafuta.na atakaefaidika ni mmarekani na mchina kaa ukilijuwa hilo.ingekuwa south sudan hawana mafuta basi sahau kama wangepate support toka kwenye nchi kubwa.
MWANDISHI WACHA UBAGUZI WA KIKABILA,RANGI NA DINI.

Anonymous said...

Bora waafrika wawe na nchi yao. Ni kweli waarabu waliwanyanyasa sana!