Saturday, July 16, 2011

Vijana WaSomali Watoroka Minneapolis kwenda Somalia

Hapa Marekani, watu wanashangaa inakujaje vijana ambao wamelelelewa hapa na kukulia katika maadili ya Marekani wanawezaje kupotoshwa kwenda kupigania Al Qaeda na vita vingine vya ajabu. Someni habari za vijana wa kiSomali walioenda Somalia kupigiana vita na Ethiopia. Minneapolis kuna waSomali wengi sana, wengi wao ni wakimbizi walokuja kuanza maisha mapya.

Mnaweza kuona video ya Training yao kwa kubofya HAPA:

***********************************************************************
MINNEAPOLIS (AP) - A group of Minneapolis-area Somalis, including some who traveled to their homeland to allegedly take up arms against the Ethiopian army, held secret meetings in 2007 to plan the trips, created fake itineraries to fool family members and challenged one another about their commitment, prosecutors contend in a court filing.

The document was filed this week in advance of a trial for one man accused of being part of the conspiracy.

It sheds new light on how the recruiting operation worked in Minneapolis and how some of the men arrived at safehouses in Somalia, where they received AK-47s and weapons training.

Since the fall of 2007, at least 21 men have left Minnesota for Somalia, where authorities believe they joined the terror group al-Shabab. Eighteen people have been charged in Minnesota in connection with the case, including Omer Abdi Mohamed, who goes on trial next week on terror-related charges.

Mohamed never traveled to Somalia, but he is accused of helping others who did. His attorney calls the allegations ridiculous.

"Omer was never involved in terrorism," said defense attorney Peter Wold. "It certainly stirs the public sentiment to suggest that, but it is not part of this case, not a part of Omer, and that will be abundantly clear."

Somalia has not had a functioning government since 1991, when warlords overthrew a socialist dictator and then turned on each other, causing chaos in the African nation of about 7 million people.

In 2006, Ethiopian soldiers, which many Somalis viewed as abusive, occupied parts of Somalia and a militant group called al-Shabab fought against against them. The U.S. declared al-Shabab a terrorist organization in early 2008.

According to prosecutors, starting in September 2007, Mohamed and others conspired to raise money to send men to Somalia to violently oust the Ethiopians. Others were also recruited to the cause. The group held meetings at mosques and restaurants, and took measures to keep things secretive.

"The defendant and his conspirators strove to keep the plan secret, reminding members not to discuss it with anyone outside of the conspiracy, and policing entry into the group," prosecutors said.
'
Mohamed and others went to malls and apartments, falsely telling members of the Somali community they were raising money to build a mosque or help relief efforts in Somalia, prosecutors said. The money actually went to the travelers, who planned to join one group member's relative - a senior member of al-Shabab - in Somalia.

Prosecutors said Mohamed used a contact at a local travel agency to get airline tickets. Members of the group allegedly gave one traveler a false itinerary to mislead his family.

The group also kept two recruits from leaving Minnesota in the fall of 2007 because they were too young, and decided their disappearance would draw attention to the plan, the document said.

The document said Mohamed and another man stayed behind to provide financial support to the travelers. It also says Mohamed advised his coconspirators to listen to a lecture by radical Muslim leader Anwar al-Awlaki about the path to jihad, and that at least one person did.

"They challenged members of the conspiracy who had planned to travel, questioning their commitment, dedication, and knowledge of both the religion and events in Somalia, before ultimately assisting them with the trip," the document said.

Prosecutors said the conspiracy includes men in Minneapolis, and men and women in Somalia. In Minneapolis, the conspiracy focused on traveling and funding trips and in Somalia, it focused on the use of safe-houses and weapons training, prosecutors said.

The document said some of the men went to Somalia through Saudi Arabia or through Dubai, United Arab Emirates, and eventually met each other and went to safe-houses. Some Minneapolis men helped clear brush for a training camp, and some participated in a July 2008 ambush of Ethiopian troops along a road in Somalia - the preparations and the ambush were filmed as part of a propaganda video.

Prosecutors say in that video, a man from Minneapolis encourages more men to join the fighters in Somalia.
Mohamed's trial starts on Tuesday with jury selection.

12 comments:

Anonymous said...

Waisilamu wote ndivyo walivyo. Kama wewe ni Mkristo usijidanganye kuwa Muislamu ni partner wako kwa jambo lolote.

Siku yoyote anaweza kukuchenjia na kukumaliza.

Nakumbuka katika hadith za waislamu jinsi ambavyo Muhhamad aliingia mkataba wa Amani na jamaa fulani na wale jamaa walivyo relax akawachenjia akawachinja wote.

This is the spirit of Islam. You can not be a true muslim without the spirit of islam residing in you.

Mdau, DAR ES SALAAM

Anonymous said...

Ni kweli kabisa maoni ya Mdau wa Dar es salaam.

Sasa hivi waisilamu wanajipachika majina wa wakristo ili wapate manufaa ya wakristo. Yaani sasa hivi utakuta jamaa anaitwa Aaron, au James, au wanachanganya majina kiaina aina ili kuchanganya watu wadhanie wao ni wakristo kama vile AshaRose, lakini ni waisilamu.

Halafu hata Harusi zao utaona wanavaa shela na mavazi ya harusi ya wakristo lakini ni waisilamu.

Cha kuumiza ni kwamba wanakuwa wanawachukia wakristo. Wanapenda manufaa ya ukristo lakini wanawachukia wakristo sana!

Anonymous said...

watoa maoni hapo juu acheni chuki na uislamu. kwanza lazima mtofautishe dini na mwenendo wa mtu binafsi. waislamu ni mamilioni duniani hivyo wasomali wachache hawawezi kuwakilisha waislamu kwa vyovyote vile. pia mjua kuwa hata katika ukristo wapo wanaouwa watu (angalia LORD RESISTANCE ARMY huko uganda na kumbuka pia JONAS SAVIMBI kule angola) jee hawa pia utasema ndio dini yao ilivyowatuma?

tena JOSEPH KONYI wa uganda anatamka wazi kuwa ndivyo biblia inavyosema na anataka kuweka sheria za kikristo uganda!!!! jee ni kweli hayo ni mafundisho ya dini yao? angalia kibwetere wa uganda alivyouwa watu wa kanisa lake na mengine mengi kila kona ya dunia.

mhalifu achukuliwe ni mhalifu kama yeye sio dini yake.

halafu wewe wa kwanza usiongee kitu usichokijua. mtume sie aliyrvunja mkataba wa hudaibiya. bali uoande wa pili ndio waliovunja na hao hawakuwa wakristo bali ni waarabu wanaoabudu masananu. walivunja wa kuwavamia waislamu na kuwauwa, kuiba mifugo yao na kuchoma moto mashamba yao ya mitende. ulitaka waislamu wakae kimya? wasijitetee?

kuhusu suala la kujibadili majina waislamu ni upuuzi kabisa. huyo asharose unayemsema amezaliwa tangu hata hayo mambo ya ugaidi bado. jee unataka kusema alijua na akaamua kujibandika jina la kikristo kabisa?

wacha chuki za kijinga ndugu yangu,wewe amini dimi yako na waache wengine waamini za kwao MUNGU atatuhukumu tukifika kwake.

emu-three said...

Umsahau usemi usemao kuwa `mwana wa nyoka ni nyoka' hata akivua gamba...lol

chib said...

Mambo ya fweza!

Anonymous said...

Nimetoka kucheki issamichuzi blog na nimekuta maharusi waisilamu na wana majina ya kikristo wote. Harusi moja ilikuwa upanga Dar es salaam na ya pili ilikuwa uholanzi. Wote wamejipachika majina ya kikristo.

Anonymous said...

"majina ya kikristo" na "manufaa ya ukristo"

Ama kweli ukitaka kumtawala mwafrika milele mfanye kwanza awe mkiristo.


Kizazi cha Hamu

Anonymous said...

Duh! sasa nimeamini kama kweli wagalatia hawana akili na hawajui ni nani aliyewaloga. Huko kwenye blog ya michuzi unakosema yule mwanadada anaitwa Natasha. Natasha ni jina la watu wa Urusi, na kwenye biblia hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kuitwa Natasha. Lakini akili za kigalatia zinadhania kwamba Natasha ni jina la kikristo.

Mnanikumbusha zamani hapa Uingereza wakati watu weusi wa kutoka Caribbeans walivyokuwa wakijipendekeza kwa wazungu ili wapewe "higher social status" dhidi ya watu weusi wa kutoka Afrika.
Haijawahi kutokea kwa sababu wazungu hawaoni tofauti yoyote kati ya mtu mweusi wa kuzaliwa Texas na mtu mweusi aliyezaliwa Timbuktu. Ndivyo hivyo hivyo na ninyi mnajipendekeza kwa wazungu huku mkitegemea kwamba labda kuna siku wazungu watatofautisha kati ya mtu mweusi muislamu na mtu mweusi mkiristo.
Guess what? It will never happen.

Anonymous said...

Biblia inasema heri jina zuri kuliko mali mengi.

Wenzenu wameshaharibu majina yao sasa wanakuja na kila hoja ilimradi tu majina ya uarabuni wayakimbie.

Kwa taarifa yenu majina ya urusi ni ya kikristo. Ukomunisti ulikuja baada ya urusi kuwa ni taifa la kikristo muda murefu sana.

Anonymous said...

hetehetehetehehehe

"today we are sick" - Malcolm X

Anonymous said...

lol, wazungu wenyewe wenye majina yao hata hawajali.

Watumwa wao wanasema "how dare you use our masters names"

Anonymous said...

Wajameni,

Ninajua kuwa huu ni mjadala wa hao vijana wa Minneapolis waliojiunga na jihadi, lakini ninapenda kujadili maswali na masuala machache kuhusu Ukristo ambayo wachangiaji wengine wameleta.

1. Ninaomba tusichanganye desturi na utamaduni wa Wazungu na Ukristo, hivi ni vitu tofauti. Ukristo ulianzia Israel na unaendelea kuenea sehemu zote duniani. Kuna wazungu Wakristo na wasio Wakristo. Ukikaa nao utawajua, ni watu kama sisi.

2. Majina
Kuwa na jina la kizungu kama Jackson, Richard au Brian hakukufanyi uwe Mkristo zaidi ya mtu mwenye jina la asili yake kama Bahati, Amani, Rehema au Ntibadyuza.
3.Kwanza wazungu walivyokuja kwetu walileta mengi ambayo siyo ya Kikristo wakitumia jina la Yesu. Walileta utumwa (West Afrika), ukoloni na utumwa/utegemezi wa kimawazo ambao mpaka leo bado tunahangaika nao. Wakoloni hawakuja kwa manufaa yetu, walikuja kututawala na kuchukua malighafi zetu. Naamini kuna ambao walithubutu kutumia Biblia kututuliza ili watutawale vizuri. Walifanya hivyo kwa watumwa wa Marekani. Kuna wachache sana ambao walikuja kwa nia nzuri kama David Livingstone, ndiyo maana alifia huko Kigoma. Wengine walileta unyama.

Sasa Ukristo ni nini kama kuwa na jina kama Jackson hakunifanyi niwe Mkristo.
Hili jina lilianzia Antioch, na waliwaita waliokuwa wanamfuata Yesu Kristo 'Wakristo'. Ilikuwa ni kama kuwakashifu fulani (derogatory term), lakini jina likaenea na kukubalika.
Basi kuwa 'Mkristo' ni kuwa mfuasi wa Yesu.
Sasa unakuwaje mfuasi wa Yesu?
- Unatambua kuwa wewe ni mdhambi na unastahili adhabu ya milele kwa sababu hiyo.
- Uamini kuwa Yesu alikufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zako.
- Unatubu, unamuomba Mungu akusamehe na akubadilishe kwa kupitia la Yesu. Kutubu ni kubadilisha mwenendo kwa msaada wa Mungu, sio kwa nguvu zako kwa sababu hatuwezi. Kama ulikuwa muongo unaacha, kama ulikuwa mzinzi unaacha na kama ulikuwa mkorofi unaacha, kama ulikuwa unaabudu sanamu unaacha. Yale yote ambayo Mwenye enzi Mungu amekataza, na wewe unayakataa katika maisha yako.
- Uamini kuwa umesamehewa na umebadilishwa kuwa 'kiumbe' kipya, mambo ya kale (ya dhambi) yamepita; sasa unamfuata Yesu maisha yako yote.

Ukifanya hivi hata kama jina lako ni Mohammed au Hassan, wewe ni mfuasi wa Yesu, na wako wengi wenye majina ya kiarabu ambao wanamfuata Yesu, nenda Iraq, Misri na nchi nyingine.

Wajameni tusigombanie majina, hayo hayauzwi ni bure. Muislamu ukitaka kujiita Robert jiite tu, haliko kwenye Biblia.

Ningependa kuchangia kuhusu jihad, lakini mimi sio mtaalamu wa mambo ya kiislamu, ila nina swali kuhusu Uislamu na jihad kwa wale wanaoelewa. Je huu ni msimamo wa watu wachache (machizi) wasioielewa Quran au jihad ni msimamo unaotoka kwenye Quran?
Mtututafsirie mistari kama hii.
«And Fight those who have not faith in God, nor in the Hereafter, and (who) forbid not what God and His Prophet have forbidden and (who ) are not committed to the religion of truth, of those who have been brought the Book (Kitab, Biblia), until they pay tribute (Jezya, kodi) by hand, and they are the low.» (Sura 9:29)

Mkristo.