Sunday, October 02, 2011

Mzee Mark Kisamecha Mfunguo Ampeotea


UPDATE:  MZEE MFUNGUO AMEPATIKANA YU SALAMA!
Mzee Mark Kisamecha Mfunguo

Ndg. Mark K. Mfunguo mkazi wa Ubungo Msewe(karibu na kanisa la Deeper Life) amepotea tangu tarehe 01/10/2011 kabila lake ni mchagga wajihi wake ni maji ya kunde na ana mvi kichwani ana umri wa miaka 65 na ana tatizo la kupoteza kumbukumbu (Dementia). Mara ya mwisho kuonekana ilikuwa ni tarehe 01/10/2011 siku ya jumamosi maeneo ya UBUNGO-EMAUS alipokwenda kwa ajili ya huduma ya maombi.


Mwenye taarifa zozote za kuonekana kwake atoe taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilichopo karibu naye na namba zifuatazo

0786-871720

0688-871720

0754484947

0713698240

0754-455176

ASANTENI!

1 comment:

Baraka Mfunguo said...

Dada Chemi nashukuru kwa msaada. Kwa bahati nzuri ndg. Mark Mfunguo aliweza kuonekana jana majira ya saa tisa alasiri maeneo ya Stendi ya Mkoa Ubungo. TUKO PAMOJA