Tuesday, September 27, 2011

Kitchen Party Boston

Wadau, wikiendi iliyopita tulimfanyia 'Kitchen Party' mwali, Musau, mtoto wa Dada Margaret Kabula wa Boston. Anaolewa mwezi ujao hapa Boston.

Kwa vile watu waliomba nyuso zao zisitoke kwenye blog nabandika zilizokuwa blurred.

Hapa tuko kwenye Mdundiko Mwali yuko kwenye stool

Hapo nakatika kidogo

Mwali akifundwa

Hapo mambo nyeti

Mdundiko unakolea

Mwali akipewa somo kiboko


12 comments:

Anonymous said...

Dada Chemi naona bado wamo!

SIMON KITURURU said...

Andika kitabu cha yatokeayo KICHENI pati na nauhakika kitakuwa besti sela mpaka uchochoroni .

Na wanaume kwa wanawake watanunua kuliko hata uandike kanuni za kujikomboa kutoka kwenye umaskini.


Kuna mtu anabisha?:-(

nyahbingi worrior. said...

Habari za siku.
Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
http://blogutanzania.blogspot.com/
kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
Ahsante
Luiham Ringo.

Anonymous said...

Dada Chemi umekaa KIMAHABA wewe!!! Yaani na hivyo unavyoakatika hadi unatamanisha. Hongera sana, ndio maana yule mwanajeshi alitaka kukubaka kule Tabora

Anonymous said...

Navutiwa sana na wewe dada Chemi! U mrembo mno. Please niandikie kupitia mail address yangu; kkitaja@yahoo.com

Anonymous said...

Dada Chemi nitafute please, nakupenda sana. Tumia this mail address; kkitaja@yahoo.com

Anonymous said...

Nikimwoza binti yangu itabidi niwaite! Hongera kwa kazi nzuri ya kufundisha watoto utamaduni wetu.

Anonymous said...

UNAJUA KUNA WATU WENGINE WANAONA WATU WAKO KAMA BIKIRA MARIA UMEJAA NEEMA... SASA LEO DADA YETU HUYU KAFUNGA KIBWEBWE ANATOA CHA UNYAGONI WATU OHH MAHABA.. NAKUPENDA SANA... TULIENI JAMANI, NDIO MJUE DADA ASIYE FUKA HATARIIII

Anonymous said...

Huyo mwali mwenyewe duh!! kakubuhu tayari sijui anafundishwa nini hapo.

Swahili na Waswahili said...

Kweli Kitururu!!Biarusi tunakuta ndoa njema.

Anonymous said...

Aksante Bi Chemi tumeona picha sasa tunataka Video.Pilau shuruti kwa Kachumbari.

Mackigos said...

Aa haa nimeipata hizi zako ni zile za Zembwela na mchiriku na Dada mwenye blue mpaka chini peleka tuu.